Kinyume cha tan kwa gradi (DRG: RAD → GRAD)
Bonyeza
tena kubadili kutoka radiani kwenda gradi. ni lebo ya machungwa juu ya tan; kwa hiyo bonyeza
, kisha
, andika 1, kisha bonyeza
. Pembemraba ni gradi 100, hivyo jibu ni 50.. Bonyeza
mara nyingine kurudi kwenye nyuzi.